KUHUSU SISI
COMPUTER BEI NAFUU NI SEHEMU AMBAYO UNAWEZA KUJIPATIA COMPUTER KWA BEI AMBAYO UTAIMUDU NA KUWEZA KUTUMIA KUANZISHA AU KUENDELEZA BIASHARA YAKO.
TUNATAMBUA UGUMU WA UPATKANAJI WA VIFAA VYA KAZI PIA NA UGUMU WA UPATKANAJI WA HELA NDIO MAANA TUNAJARIBU KUWEKA BEI AMBAYO MTUMIAJI ATAWEZA KUIMUDU NA KUJIPATIA COMPUTER YAKE IWE KWA BIASHARA AU MATUMIZI BINAFSI.
KUTOKANA NA KULITAMBUA HILO TUMETAFUTA NJIA RAHISI YA KUWAHUDUMIA WATEJA WETU NA KUSAIDIA VIJANA WENGI KUANZISHA BIASHARA ZA LIBRARY NA STATIONARY BILA CHANGAMOTO ZA KIFEDHA.
PIA TUMEONA MALALAMIKO MENGI YA WATU WA MIKOANI WAKITAPELIWA NA KUDHULUMIWA HELA ZAO BAADA YA KUWAAMINI WATU WA MITANDAONI KATIKA KUWATUMIA MIZIGO.
SISI TUTAKUTUMIA MZIGO KWA UAMINIFU MKUBWA NA TUTAENDELEA KUTOA USHIRIKIANO HADI UTAKAPOANZA KUTUMIA COMPUTER YAKO.
NAMBA ZA KUWASILIANA ZIKO HAPO JUU KATIKA BANGO KWENYE BLOG HII NA SIO NAMBA ZINGINE TAFADHALI USIWASILIANE NA NAMBA TOFAUTI NA HIZO.
KARIBUNI.
No comments:
Post a Comment